Hatimaye staa wa
f lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa
‘laivu’ akiwa amepiga picha chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti
zake.
Kunaswa kwa picha hiyo, kumevunja heshima ya staa
huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike
wanaotamba katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.
Wolper alinaswa
na mwandishi wetu katika sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika
hivi karibuni Ubungo jijini Dar.
Siku za nyuma,
staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na
mwandishi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa
kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake
yote
Credit: GPL
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment