Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake.
Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma
kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake hali
ambayo imemsababishia maumivu chungu mzima.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment