Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
clip_image002
Baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda mrefu , muigizaji mkongwe wa filamu maarufu za action Arnold Schwarzenegger, ameamua kurejea upya katika ulingo huo huku 'Terminator 5' ikitegemewa kurekodiwa mwezi January mwaka ujao.

Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor wa Califolirnia  wakati inatengenezwa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top