
Habari za mchana wapendwa! kutokana na kifo cha msanii mwenzetu ALBERT MANGWEA kilichotokea South Africa HATUTOKUWA NA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA MAJANGA. mpaka hapo tutatangaza tena.mungu alaze roho ya marehemu mahara pema peponi amin
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment