mwana FA na meneja SAMSUNG nchini TANZANIA
Kulia ni meneja wa SAMSUNG tanzania kishor kumor na kushoto ni mkuu biashara kwa ukanda wa afrika mashariki na kati manoj changarampatt na mwana FAMsanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya 'bongoflave' Hamisi mwijuma'mwana FA' akitoa shukran kwa heshima hiyo aliyopewa na samsung tanzania kwa kuwa balozi wasamsung s4 tanzania simu ambazo zinaongoza kwa mauzo duniani kote kwa wiki 3 wameshauza simu milioni 10.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment