Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.
Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Gari aina ya Toyota Vitz lililovamiwa na majambazi.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Trafiki akielezea jambo baada ya tukio hilo.
Baadhi ya wananchi waliokusanyika kushuhudia tukio hilo.
Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya
Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya Toyota Vitz yenye namba za
usajili T 929 CCX na kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya Asia
waliokuwa ndani yake na kuwapora furushi la fedha ambazo mpaka sasa bado
haijafahamika ni kiasi gani. Tukio hilo limetokea eneo la
Sayansi-Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA/GPL)
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment