Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ambayo imetokea katika barabara ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam 
 
Pichani juu ni taswira za ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ambayo imetokea katika barabara ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Lori la mafuta ya kupikia lenye namba za usajili T 219 lililokuwa likitoka bandarini kuelekea Ubungo, limegongana na daladala kisha kupinduka na kuziba barabara ya Chang'ombe. Baadhi ya wananchi waliofika eneo la tukio walionekana kuwa busy wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye Lori hilo.
Picha na KAPINGAZ-MAFOTO BLOG

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top