Liemba ikiwa imeweka nang'a katika bandari ya kigoma ikiwa imetoka zambia
meli hii kwasasa inafanya kazi kwa mwezi mara mbili kutoka kigoma kwenda mpulungu zambia wakati wa awali meli hii ilikuwa inafanya kazi mara moja kwa wiki zilikuwa zinapisha na muongozo moja ikitoka kigoma nyingine inatoka zambia lakini kwa sasa hali imekuwa ngumu abilia wanakuwa wanaisubili meli hiyo ndani ya wiki mbili ili kuanza safari ya kuelekea zambia
MV LIEMBA ililetwa na wakoloni wa kijerumani mnamo miaka mia imepita tangu wailete nakuanza kufanya kazi yakusafirisha abilia kutoka kigoma na zambia .imeletwa kigoma mwaka 1914 ndipo ilipowasili kigoma
HII ni MV MUONGOZO meli iliyokuwa inafanya safari ya kwenda burundi kwasasa haifanyi safari zozote zile

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment