Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Shindano la Big Brother Africa 2013 (The Chase) limeanza rasmi may 26 ambapo Watanzania wawili Feza Kessy na Nando ndio wameiwakilisha japo stori zilizagaa sana kwamba binamu yake Diamond Platnums (Rommy Jones) angekua mmoja wa wawakilishi.

.
Feza Kessy anaetokea Arusha, anayo certificate ya IT, ni mama wa mtoto mmoja wa kiume, aliwahi kushiriki Miss Tanzania, ni msanii kwenye ukoo wa bongofleva, moja kati ya atakavyovifanya akishinda USD laki tatu ni kununua nyumba.

.
.
Nando amekua akiishi Marekani, hajawahi kutazama shindano la Big Brother kwenye Tv, anaipenda Arusha na Brazil kwa sababu anapenda mpira, show yake ya TV anayoipenda ni 1000 ways to die, waigizaji anaowakubali ni Scarlett Johansson na Martin Lawrence.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top