Amanda Bynes amshambulia Rihanna kupitia ukurasa wake wa twitter na
kusema kuwa Chris Brown alimpiga kwasababu ni mbaya..hakijajulikana ni
kitu gani kilichomfanya awe na hasira na Rihanna
Amanda alitweet na kufuta haraka "@rihanna Chris Brown beat you because
you're not pretty enough." na baada ya kuandika hicho aliendelea kwa
kuandika maneno ya kashfa kuhusu kutaka kumuita mbwa wake Rihanna
baada ya tweets hizo Rihanna alimjibu kwa kuandika " Ya see what happens when they cancel intervention?"
Amanda amemjibu Riri na akafuta
"@rihanna unlike ur fugly faced self I don't do drugs! U need the intervention dog! I met ur ugly face in person! U aren't pretty u know it!"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment