Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa
sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti
wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa
eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya
kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd,
inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa
kampuni hiyo, Tao Jian. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye, mgodi huo utaanza kuzalisha madini hayo ya Chuma na Makaa ya
mawe mwaka 2019.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa
sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti
wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa
eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya
kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd,
inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa
kampuni hiyo, Tao Jian.
Tao Jian akiwaonyesha Kinana na msafara wake, ramani linalofanyiwa
kazi na kampuni yake katika kutafiti aina na kiasi cha Chuma
kitakachoweza kupatikana Liganga
Mabosi wa Kampuni ya Kichina inayofanya utafiti wa aina na kiasi cha
chuma kitakachopatikana Liganga, wakitoa maelezo ya jumla kuhusu mradi
huo unavyoendelea
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment