Audio: Gwajima afyatuka tena, amshauri Magufuli aihame CCM....Adai amenasa njama Mbaya
Audio: Gwajima afyatuka tena, amshauri Magufuli aihame CCM....Adai amenasa njama Mbaya

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye anafahamika kwa kutoa kauli ‘tata’, amefyatuka tena akimshauri Rais John...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Gwajima: Dk. Slaa Basi Tena Ametekwa na Mke Wake Josephine Mushumbusi na Haiwezekani Kumtoa
Gwajima: Dk. Slaa Basi Tena Ametekwa na Mke Wake Josephine Mushumbusi na Haiwezekani Kumtoa

Gwajima ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema Dk. Willibrod Slaa ametekwa na mke wake Josephine Mushumbu...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Kauli ya Askofu Gwajima Yamtokea Puani....Aulizwa Malimao Aliyosema Sasa yako Wapi ? Ni Kuhusu Kauli Aliyotoa Arusha Kwenye Mkutano wa LOWASSA
Kauli ya Askofu Gwajima Yamtokea Puani....Aulizwa Malimao Aliyosema Sasa yako Wapi ? Ni Kuhusu Kauli Aliyotoa Arusha Kwenye Mkutano wa LOWASSA

Katika Mkutano wa Lowassa Huku Arusha wa Kutangaza nia ya Urais Mchungaji Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo alikuwa mmoja wa Watu walio...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Gwajima: Asiyempenda Lowassa Akale Limao!!!
Gwajima: Asiyempenda Lowassa Akale Limao!!!

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephati Gwajima amesema kwamba mwananchi  au mwanasiasa  yeyote asiyempenda Mbunge wa Mon...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Gwajima, Flora Mbasha waibukia mkutano wa CHADEMA Kawe, ni ule wa kuzindua kitabu cha Mbunge
Gwajima, Flora Mbasha waibukia mkutano wa CHADEMA Kawe, ni ule wa kuzindua kitabu cha Mbunge

MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, Jana alasiri Mei 24, waliibu...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Upelelezi Kesi ya Askofu Josephat Gwajima Mbioni Kukamilika
Upelelezi Kesi ya Askofu Josephat Gwajima Mbioni Kukamilika

UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji  Josephat Gwajima na wenzake watatu unadaiwa uko mbioni k...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Kanisa Langu Halitakufa, Anayetaka Kuliangamiza Ataangamia yeye- Gwajima
Kanisa Langu Halitakufa, Anayetaka Kuliangamiza Ataangamia yeye- Gwajima

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema kuna watu wanaotaka kuua kanisa lake lakini kamwe halitakufa na litang’aa...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Gwajima Afunguka Tena....Asema Haogopi Mtu Wala Haogopi Kufa. Awashangaa Wanaomfuatilia huku Wakiongea kwa Kubana Pua
Gwajima Afunguka Tena....Asema Haogopi Mtu Wala Haogopi Kufa. Awashangaa Wanaomfuatilia huku Wakiongea kwa Kubana Pua

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona ha...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Picha Zikionyesha Hali Ilivyokuwa Nyumbani Kwa Gwajima Leo Baada Ya Kuzingirwa Na Jeshi La Polisi
Picha Zikionyesha Hali Ilivyokuwa Nyumbani Kwa Gwajima Leo Baada Ya Kuzingirwa Na Jeshi La Polisi

Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima.    Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote.    Gari lililombeba Gwajima li...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Breaking News: Askofu Gwajima Mbaroni, Apelekwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar
Breaking News: Askofu Gwajima Mbaroni, Apelekwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar

Asubuhi ya leo imeripotiwa stori ya Askari Polisi wakiwa na silaha kuizunguka nyumba yake, Mbezi Salasala DAR.. waumini wake, waandis...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Jijini Dar
Polisi Wenye Silaha za Moto Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Huko Sala Sala Jijini Dar

Kinachoendelea Muda huu nyumbani kwa Gwajima ni Polisi wenye silaha za moto wameizingira nyumba ya Gwajima ..Habari tulizozipata ni ku...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

SIYO siri!  Askofu Gwajima Presha Tupu.
SIYO siri! Askofu Gwajima Presha Tupu.

SIYO siri! Huku jana akiwa ametarajiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha Polisi, Dar (Central) kauli ya serikali kwamba, taasisi za dini ambaz...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Mkwara wa Gwajima kwa Polisi wazaa matunda.....Mahojiano Yasitishwa Kusubiri Uamuzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mkwara wa Gwajima kwa Polisi wazaa matunda.....Mahojiano Yasitishwa Kusubiri Uamuzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Hoja za kisheria alizowasilisha Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuhusu kutakiwa kuwasilisha nyaraka 10 za utajiri n...

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
 
Top