Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
born
Ni jambo la kushangaza kidogo kuona mtoto akizaliwa huku akiwa na meno tayari lakini mama huyo anayeishi katika mji wa Missouri, Marekani ametamka kuwa hataweza kumnyonyesha mtoto wake aliyemzaa baada ya kugundulika kuwa amezaliwa akiwa na meno mawili ya mbele.
“Wamesema alizaliwa akiwa na meno mawili ya mbele,imekua ni mshtuko kwa kila mtu kwani ni jambo la ajabu kidogo:-Bailey
Alisema mbali ya watu kushangaa pia madaktari walikua wakishangaa.
Alisema kutokana na hali hiyo Alyssa Bella atakua akinywa maziwa ya kopo na si kunyonya. Bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top