
katika hali hisiyo ya kawaida kwa sisi watanzania si rahisi kuwa na wanawake wengi na wote kuwapeleka kwa wazazi wako na wakafuraia. hii imetokea kwa mama diamond ambaye kiukweli ameonyesha uzaifu

mkubwa kama mama baada ya mama yake kushindwa kuonyesha heshima yake pale mwanaye anapo changanya wanawake. jamani ebu tujiulize huyu mama anaupendo kwa mwanaye kweli lakini haya yote yanatokea yawezekana ni kutokana na kukosa ushauri wa wazazi wote wawili yani baba na mama ila kiukweli mama
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment