Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IMG_0468.JPG
Ratiba ngumu ya mechi za msimu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya katika ligi kuu ya Uingereza imeanza rasmi leo.

Chelsea ambao wanaongoza ligi ndio walifungua pazia za mechi za leo kwa kukipiga na West Ham United katika uwanja wa Stamford Bridge.
Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa magoli mawili kwa bila kwa Chelsea.
John Terry alianza kufungua akaunti ya magoli kwa Chelsea katika kipindi cha kwanza, kabla ya Diego Costa kuongeza goli la pili kipindi cha pili na kuhitimisha ushindi huo ambao wamewapa uongozi wa pointi 6 kileleni.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top