MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY leo katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.
(Habari/Picha: Global Whatsapp +255 753 715 779)
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment