Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Photo: ROONEY NAHODHA WA ENGLAND
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney ametajwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya England, na meneja Roy Hodgson.
Rooney, 28, anachukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard aliyestaafu, baada ya England kutolewa katika michuano ya Kombe la Dunia. Rooney ambaye amefunga magoli 40 katika mechi 95 alizocheza England, pia alitajwa kuwa nahodha wa Manchester United na Louis van Gaal mapema mwezi huu.
"Ni kitu ambacho nitajivunia kukifanya. Kuteuliwa kuwa nahodha ni kitu ambacho hata sikuwahi kukiota." amesema Rooney katika tovuti yake rasmi.

  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

Top