Kwa
mfumo wa muziki wa Madee huu anauita muziki wa Kwata ambao ni
muunganiko wa Kwaito na Takeu ndio unautengeneza Kwata,single ya 3
kutoka kwake baada ya Pombe Yangu,Tema mate tuwachape na hii Nisheeeda.
Bonyeza play kusikiliza.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment