Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MOTO MKUBWA UMEUTOKEA KATIKA ENEO LA MWANANYAMALA A KARIBU  NA HOSPITALI YA MWANANYAMALA. MOTO HUO ULIOUNGUZA VIBANDA KADHA VYA WAFANYABIASHARAKWA MUJIBU WA MFANYABIASHARA MWENYE KIBANDA KIMOJA CHA BIASHARA KILICHOKUWA ANAUZA VITAMBAA VYA  GAUNI PAMOJA VIFAA VYA KUSHONEA HASSANI KABAJO ANAELEZEA  MOTO HUO MKUBWA UMETOKANA NA HITLAFU YA UMEME ULIOTOKEA KATIKA MOJA YA CHUMBA CHA MPANGAJI KATIKA NYUMBA KUBWA ILIYOKUWA NA WAPANGAJI  KUTOKANA HALI HIYO MOTO UKASAMBAA KWA KASI NA KUFIKIA KATIKA KWENYE VIBANDA HIVYO  MFANYAIASHARA HUYO AMESEMA MPAKA HIVI SASA SIWEZI KUSEMA HASARA HIYO KWA WENGI WA WAFANYABIASHARA WAMECHUKUA MIKOPO


















UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top