Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hivi karibu ilivuma story ya Diamond
kumpiga Wema sepetu baada ya Wema
kuhusi kuwa Mpenzi wake Diamond
Anatoka na Victoria kimani sasa hivi
karibu Mwanadada Victoria kimani
afunguka na kijijtetea kupitia ukurasa
wake wa Instagram
"Mafans wangu wote, nawapenda sana
sana. Nafanya kazi ya muziki kwa bidii
na kwa sababu yenu. Nimepiga picha na
wanamuziki wengi na wakubwa sana
kote duniani. Na hiyo HAIMAANISHI
KUNA MAMBO MENGINE YANAENDELEA
NJE ya KAZI YA MUZIKI. Kwa hayo
machache, ninafuraha sana kufanya kazi
na wanamuziki wakubwa zaidi wa Bongo
@ommydimpoz na @diamondplatnumz
kwenye single moja. Mimi ndiye msanii
wa kwanza wakike kufanya single moja
na hawa wawili. Tunafocus na mambo
makubwa zaidi ili East Africa iende
mbele kimuziki. NAWAPENDA WOTE.
Mimi wenu VICTORIA KIMANI”“

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top