Aidha alisema kuwa alipofika hospitali alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na kuendelea vizuri.
Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila tumezungumza na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka kilichotokea usiku huo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment