Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Siku ya Jumatatu Staa wa filamua za Kibongo, Kajala Masanja kupitia account yake ya Instagram aliandika kuwa alipokuwa kwenye shoo ya Izzo B,Club 71 iliyopo maeneo ya Tegeta, ghafla alianza kuumwa ndipo alipopelekwa nyumbani na kuelekea hospitali.
Aidha alisema kuwa alipofika hospitali alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na kuendelea vizuri. Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila 255 imezungumza na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka kilichotokea usiku huo.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top