Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


1779281_684969414879813_999306451_n 
Jana tarehe 28/2/2014 Clouds TV  imepata kibali cha kurusha matangazo yake Tanzania nzima.
Clouds TV imekabidhiwa kibali hicho na Tanzania communications regulatory authority (TCRA).
General director wa TCRA Prof John Nkoma amemkabidhi director of production and programs wa Clouds media group Mr Ruge Mutahaba kibali cha Clouds TV kurusha matangazo yake nchi nzima kama free to air.
1619427_684969471546474_711060175_n
1662055_684969368213151_1821614993_n

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top