kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi
kaandika "Nimenusurika kuuawa muda si mrefu.
Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na
bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana
mmoja alikaa mbele yangu amepigwa risasi
kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana
wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari
wamenikamata kwa staha. Siwezi kukubali kamwe
dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge!
Niliwaahidi na niliapa kuwatetea..."
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment