chelsea imeifunga man united na kufikisha point 68 mbele ya arsenal wenye point 67 huku chelsea ikiwa imebakiwa na mechi tatu.
kwa ushindi huo chelsea inajihahakikishia kushiliki ligi ya mabigwa ulaya msimu ujao endapo itaifunga ijumaa tano tottenham katika mechi ya kipolo chake.
juan mata ndio kama mchezaji tegemezi katika team ya chelsea kwa sasa alifunga goli hilo katika dakika ya 87 baada ya phil jones kuokoa vibaya nae mata hakufanya ajizi akatupia mpira kwenye nyavu
katika mechi hiyo david luis alitolewa nje baada ya kuchezewa lafu mbaya na mbrazil mwenzake rafael na kupewa kadi nyekundu katika mchezo huo uliochezeshwa na muamuzi howard webb.
main of the match ni juan mata
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment