Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ajali Bus la Simba Mtoto Lagongana Uso kwa Uso na Lori, Tunaomba Radhi kwa Picha hizi
Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutakavyozipata.
Picha na Frank msaki



Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.


Habari kamili zitakujia endelea kutembelea tovuti hii
Bonyeza Hapa kuungana nasi facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top