Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Producer mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.

Bonyeza Hapa like page yetu.




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top