Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mtangazaji mahiri wa  habari za michezo wa siku nyingi Maulidi kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo kawe jijini dar es salaam jioni ya leo. 
Mkurungezi wa vipindi wa radio hiyo Dickson ponela wamefurahishwa na mtangazaji mahili wa habari za michezo kijiunga na kituo chetu.
 "Mpaka sasa Maulidi ameshasign mkataba na kituo chetu na anatarajiwa kusikika hivi karibuni katika kipindi cha michezo hapa EFM'' alisema mkurungezi huyo
Mtangazaji mahiri wa  habari za michezo Maulidi kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo kipya cha Raiod kiitwacho EFM 93.7 kilichopo kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni mkurungezi wa vipindi wa radio  hiyo Dickson ponela.Mtangazaji mahiri wa  habari za michezo Maulidi Baraka kitenge akipeana mikono wa mkurungezi wa vipindi wa Radio  EFM, Dickson ponela wakibadilishana mikataba baada ya kusainishana mikataba hiyo ya kazi katika makao makuu ya Radio hiyo yaliyopo kawe jijini dar es salaam.
Picha na mtaa kwa mtaa
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top