Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Embedded image permalink
Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge .
Saa moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao. baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.
PICHA; MAULIDI KITENGE BAADA YA KUACHA KAZI RADIO ONE na ITV AJIUNGA NA RADIO EFM
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top