Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Tafiti zinaonesha kuna idadi kubwa ya watu wanaotumia Facebook hubofya zaidi picha au video zinazoonesha matukio yanayoendana na ngono ama picha chafu.

 Lakini imebainika kuwa baadhi ya video hizo hutumiwa na hackers kuweza kuaccess taarifa za mtumiaji na kuteka akaunti yake.

Wataalamu wa masuala ya mitandao wa Uingereza wamewatahadharisha watumiaji wa Facebook na kuwataka kuwa makini na video zinazosambaa zikionesha msichana au mwanamke (hata kama wanamfahamu) akiwa anavua nguo na kuonesha kuwa ukibofya itakupeleka Youtube kuangalia video nzima.

Wameeleza kuwa video hizo hutuma taarifa zisizotegemewa kwenye browsers kwenda kwenye flash player na kisha kuiba taarifa za siri za mtumiaji.
 
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top