Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Mkazi wa kirumba akiwa hospitalini akiwa amejeruhiwa na shoka baada ya kufumaniwa na mke watu usiku wa juzi. Alipigwa shoka la kichwa na kuingia kabisa kama unavyoona kwenye picha hizi tatu.
Baada ya madoctor wa bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliye fumaniwa huko mwanza hatimaye wamefankiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi mke wa mtu sumu


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top