Msani
mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu bongo Wastara Juma amaesema
yupo tayari kuolewa na kuishi na mwanaume yoyote atakae jaliwa na mungu
lakini ole wake anaetishia kuwa atakaemuoa atakufa atambue yeye sio
mungu na dunia wote tunapita hivyo ahache vitisho visivyokuwa na maana
Akifunguka
kiafrika bila hofu yoyote amesema anaamini kila jambo linatokea ni
mipango ya mungu na kwamba hakuna wakumtisha hapa chini ya jua maana
wote tumeumbwa na mungu na kwake tutalejea
“Hakuna wakunitisha mimi namuogopa mungu tu maana ndio ananipa pumzi lakini sio binadamu mwenzangu natamka rasmi nipo tayari kuolewa na yeyote titakaependana nae na hakuna aja ya kuogopa vitisho vya mtu.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment