Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kadhia hiyo imetokea leo asubuhi baada ya mabasi yakitoka dar es salaam kwenda mikoani walipofika katika daraja la mto ruvu kukuta daraja hilo limeja  maji na kusababisha msululu mrefu wa magari tangu saa mbili asubuhi hadi muda huu.

Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.

Maji yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro chalinze Eneo la Ruvu darajani muda huu.Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia maji yamejaa pande zote za barabara,Magari yamesimama na hakuna Gari linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top