Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This














 Dar salaam: Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya mandela ubungo    kwelekea buguruni imetanganishwa hivyo kwa daraja hilo kukatika kwasababu ya maji yanaopita eneohilo la daraja kuzidi nguvu nguzo za daraja hilo na kulipelekuea kukatika.
 Watanzania tusiishie kulaume serekali kama wengi wetu hufanya kwasasa kinachoitajika na maombi kwa Mungu .

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top