Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwanamke jicho...Litumie shoga eeh...
******
WANAWAKE: Haya Hapa Mambo Sita ya Kuzingatia Kama Unataka Kum-Limbwata Mumeo !!!

(1). Maandalizi 


Miongoni mwa sababu za wazi kabisa ambazo zinaweza kumkosesha mwanaume hamu ya tendo la ndoa, hali ambayo ikidumu sana huenda ikampelekea kupoteza kabisa uwezo wake wa kufanya tendo hilo, ni maandalizi duni ambayo mwenza wake anaweza kuwa anayafanya. Na ingawa wengi wetu wanaweza kujishaua kuwa ni mahiri katika kuwaandaa wake zao, ukweli ni kwamba, umahiri mkubwa sana katika maandalizi umekuwa ukionyeshwa kitandani zaidi kitu ambacho ni kosa kubwa, kwani maandalizi katika tendo la ndoa, ni terminology iliyo na maana pana zaidi ya kumnyonya mwenzako au kumshikashika kila unapopajua wewe.


(2). Usafi

Yapo masimulizi ya kuwa wanawake wa ukanda wa Pwani, hasa Tanga, ni wenye kutumia madawa katika kuwateka sana mabwana wa watu, hasa wale wa kutokea mikoa inayoitwa ya bara, lakini kwa mtu ambaye amezaliwa, kukulia, kubalehe na kuanza kuujua utamu wa mapenzi akiwa Tanga, hili ni moja ya masimulizi ambayo yamekuwa yakipingwa sana.

Mtu umerejea toka kazini au kibaruani, unakuta umeandaliwa maji ya kuoga, yametiwa viungo vya aina kwa aina, yananukia mithili ya hakuna...maji hayo hubebi wewe kuyapeleka bafuni, bali unabebewa na at times hata wewe mwenyewe unabebwa kwenda kuogeshwa huko.

 Kana kwamba hiyo haitoshi, unapoogeshwa husuguliwi kwa brashi lenye kukera, bali machicha ya nazi yenye kukufanya utoke hapo ukiwa na ngozi laini kama ya mtoto. Kwa mambo kama haya kweli hiyo hamu kama isipokuja mwanaume atakuwa karogwa haswa.


Usafi kwa mwanamke ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke...

Jitahidi kufanya maandalizi ya usafi wa miili yenu nyote, na inapokuwa usafi huo unafanyika kwa kutumia vitu vyenye uasilia, basi ni wazi kabisa kuwa hiyo hamu ya mwenzio hata kama ilikuwa maili 20 toka hapo, lazima itarejea na si ajabu majambo yakaanza huko huko bafuni, ikiwa mna nafasi ya kuoga pamoja, au laa chumbani mngali mkinukia vizuri. 

Tendo la ndoa, ni miongoni mwa starehe za hali na hadhi ya juu sana kuwahi kuumbiwa mwanaadamu. Na ndio maana hata mtu afanye nini, bado hawezi kupata kitu cha ku-substitute utamu wa kutombana hapa duniani. Kutokana na hali hii, ni vyema basi tendo lenyewe likapewa hadhi ya aina yake hasa linapokuja suala la usafi.

(3). Kujiremba kama unayeenda kwenye sherehe za majini

Kupendeza ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke, lakini kama ambavyo kila kitu kikizidi kinakuwa na madhara, ndivyo ambavyo huko kupendeza kwenu wanawake wakati mwingine kunazidi na kuwa kero badala ya kuwa kichocheo cha mwenza wako kitandani.

 Mtu unapanda kitandani na mibanio kichwani, sijui mikofia ya namna gani huko kichwani, umejipakaza mafuta ambayo unayajua mwenyewe tu maana yake, unategemea nini?

 Unakuwa kama vile unaenda kushiriki hafla ya majini usiku huo na sio kulala na mwenza wako!!



Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume, imejengwa katika vitu vidogo vidogo sana katika mwili wa mwanamke, na ndio maana mwanaume anaweza kumuangalia tu mwanamke ambaye wala hajajiremba saaaana na akawa keshasimamisha. 

Kwa wale waliokulia pwani, michoro ile ya hina ni moja ya vitu vidogo na vinavyoonekana havina maana sana, lakini ambavyo vinaweza kumfanya mwenza wako akasisimka kwa namna ya upekee.


Fikiria ukirudi home na kumkuta mkeo kajipamba kidogo tu kama huyu...
Hata hivyo kujiremba kusizidi sana!!!

Acha kutumia manukato ambayo yatamfanya alale kwa shida na kuvumilia tu kuwa na wewe kitanda kimoja kwa kuwa labda mna chumba kimoja tu, au kwa kuwa basi tu ameshakuzoea. Na inapotokea kuwa kuna haja ya kutumia manukato, hebu tumia vitu asilia zaidi.

 Zipo udi, sijui unaitwa uturi na mambo kama hayo, ambavyo huzalisha harufu ambayo dah!! Hata kwa kuisikia tu kwenye pua, mwanaume lazima mishipa ya chini ya kiunoni imsisimke.

(4).  Kugeuza chumba cha kulala kuwa chumba cha mashauri

Siku moja wakati namhoji mmoja wa wateja wangu, aliniambia kuwa amekuwa akigombana na mumewe kila siku kuhusu wanawake zake wa nje, na amekuwa akimuuliza hilo wanapokuwa wako chumbani wakijiandaa kulala. 

Nilimuuliza, ulishawahi kumfumania, akanambia kuwa amekuwa anaambiwa na watu ambao wanaona gari yake mitaani baada ya kazi. Nilimwambia aache kuwa mpumbavu.

Hakuna kitu kibaya sana kwa mwanamke au hata mwanaume, kama kukigeuza chumba chenu ukumbi wa mashauri tena mashauri yenyewe ambayo yanahusu maisha yenu ya nje.

 Unakuta mwanamke yuko na mumewe kitandani, wanaanza kushikana shikana, akiwa kamlalia kifuani anaanza kumuuliza "hivi yule nanihii ulishaachana naye? Hivi huko kwingine nako wanakufanyia kama ninavyokufanyia mimi na mambo kama hayo" .... nakuapia, hata kama muhogo wa mwanaume ilikuwa imesimama namna gani kwa kuwa ulikuwa unainyonya, si jambo la ajabu muda huo huo kukuta imekuwa ndogo utadhani ana kibamia.

Iwe kwa mahitaji ya kawaida ya familia, sijui umeishiwa hiki na kile, au kwa maongezi yoyote yale, mwanamke ni vyema ukatengeneza mazingira ya kumaliza mambo yenu ya kawaida muda ambao bado hamjapanda kitandani, kwani asilimia kubwa sana ya wanaume maswali maswali yenye kuwataka maelezo meeengi wakati mwingine au kusutana, huwa yanawakwaza na kuwaondolea kabisa hamu ya mapenzi.

 Na kama ikibidi kuulizana jambo la muhimu kitandani, tengeneza mazingira ya kuuliza kwa namna ambayo haitamuondolea mood yake.

(6).  Kumfanya ajihisi alikupata na anakumiliki kwa bahati mbaya

Ndio, wanawake ni maua ya duniani hatukatai, lakini unadhani kama maua yote huko msituni kwa mfano yangekuwa yanapiga kelele, dunia ingeweza kukalika kweli? 

Kuwa mzuri ni tunu ambayo umetunukiwa na aliyekuumba (au aliyekuwezesha kuununua uzuri huo, maana nasikia siku hizi uzuri unanunuliwa kama peremende madukani), lakini kama unajiona mzuri kiasi kwamba hukustahili kuwa na mwanaume huyo uliyenaye, kitu gani kilikupeleka kwake?

Kuwa na kauli zenye kumuashiria mwanaume kuwa wewe ni mzuri sana kiasi kwamba hakustahili au alibahatisha tu kuwa na wewe, ni moja ya virusi vilivyo vibaya sana ambavyo vinamuondolea mwanaume hamu ya tendo la ndoa na wewe.

 Kwani warembo wangapi huku mitaani ambao tunawajua kuwa wamebahatika kuolewa na wanaume pengine very handsome, lakini wanaishia kuishi maisha ya masononeko kwa kuwa inapofikia wakati wa tendo la ndoa, hawaridhishwi na wenzao?

Uzuri wa mwanamke, ni tunu tu ambayo yeyote angeweza kutunukiwa, na kitu ambacho pia unaweza kupokonywa siku yoyote ile na aliyekutunuku. 

Hata uwe mzuri namna gani, mwisho wa siku kama wewe ni mwanamke, ni lazima utataka kuwa na mwanaume ili uumbwaji wako utimie. 

Utumie uzuri wako katika kumpendeza huyo unayetaka akusugue sawasawa kitandani naye atakufikisha unapotaka kama ishara ya wewe na uzuri wako kumpa heshima ya kuumiliki uzuri huo. 

Badilika mwanamke weweeeeee!!!!!!.


(6).  Kumfanya ajihisi takataka kwa kuwa una uwezo zaidi yake

Yes...kuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake wenye fedha zao ndio ambao wana tatizo la kuwa na wanaume ambao hawawafikishi kileleni?

 Tena basi, wengi wao unakuta ni wale ambao wakati wanaanzana walikuwa wako kama kalio na chupi, kiasi kwamba usingetegemea kuwa wana tatizo kama hilo kati yao?

Siwezi kulaumu, maana ni suala la nature zaidi, kwamba wale wenye uwezo fulani kiuchumi, huwa na nguvu zaidi kwa wenza wao, na kuna kiwango cha nguvu ambacho kimsingi kinakubalika. 

Hata hivyo, kuna wale ambao wana-exercise nguvu hizo kwa kiwango cha kukera.

 Bahati mbaya sana ni kuwa, inapokuja suala hili linamhusu mwanamke na mwanaume, baada ya kuvumilia sana mwanaume hufikia mahali anaanza kupoteza hamu na wewe, kwa kuwa anajua kuwa tayari ndani yako unamchukulia kama kitu chake cha kumstarehesha tu.

Sawa, fedha ni zako, lakini kama unadhania kuwa fedha zako ni kila kitu kwa nini ulimhitaji mwanaume? Si kwa sababu hiyo ni sehemu ya uumbwaji wako? 

Dharau kwa upande wowote ule, hupelekea upande unaodharaulika kukosa hamu ya tendo la ndoa, na kwa kuwa kimaumbile mwanamke hakuumbwa kuonekana waziwazi kukosa hamu, mwanaume yeye ni rahisi kuonekana kwani kimaumbile ameumbwa kuonekana waziwazi pale anapokuwa na matamanio au utayari wa tendo, na pale anapokuwa hana.

Haya yanatosha kwa leo wadau. 

KAMA UMEGUSWA NA UMEPENDA HII MAKALA TAFADHALI BOFYA LIKE HAPO CHINI UUNGANE NASI KUPITIA FACEBOOK PAGE... 

  <<<BOFYA HAPA>>>


Jamani, kuna ugumu gani kufanya hivyo????




CREDIT: Akili Akili

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top